Tundu 'Frankenstein' Lissu

Binafsi nashukuru kwa hoja na maoni yako...
 
"Sioni mtumishi wa umma kwenye sekta yeyote iwe vyombo vya ulinzi na usalama au taasisi za serikali ambayo consciousness yake itamwambia ambebe magufuli dhidi ya Lissu. Sijaona"
 
Sasa Lisu ana kitu gani sasa hivi?

Mbona ni mwepesi sana! Au unafikiri huko kupita pita kariakoo ndio kitu cha maana?


Magufuli ana nini cha maana cha kumfanya uwe kiongozi? Au kule kutufokea ndiyo unaona ana leadership skills?
 
We mpumbavu soma hii post yako tena
 
Kupitia uzi huu wa Sept.2017 naona watu waliotelekeza Id zao. Hakika muda ni Mwalimu mzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…