Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903

Jana Ikungi kwa Mhe. Tundu Antipass Lissu alipokelewa kwa kishindo na kupewa heshima ya u Chief katika jimbo lake singida mashariki wananchi wameridhika na jinsi anavyo lipigania taifa.
Mtokwa povu tumemchoka sanaKichwa cha Tundu Lissu kimoja huwezi hata kulinganisha na vichwa vya ccm 100 Bungeni Ama kweli ccm ni ungonjwa mbaya no matter uko profisa au Dr ukishaingia ccm basi umepoteza sifa zote hizo na unakua fisadi na bendera kufata upepo .
Sioni wananchi hapo naona migwanda tu
yule dada wa lumumba kwa uongo kakubuhuKuna Gamba lilikuja na habari za uzushi hapa kwamba TL ameonekana pale JK Nyerere International Airport akikimbia nchi. Kwa bahati nzuri, uzi wake haukukaa hata robo saa ukaondolewa. Yaani Lumumba kuna utitiri wa wapuuzi hadi wanakera.
We makinikia ya mchanga ati airforce one ndo ndege kubwa kuliko zote duniani?Kumbe miaka yote hiyo alikuwa bado? Kweli Domo kaya kashikwa pabaya safari hii!
Hao wananchi ndiyo wanachama wa chadema imekuuma pole.Sioni wananchi hapo naona migwanda tu
Wanatafuta mbinu za kumfanya afeli.Halafu Mwigulu jana anakuja na ngonjera zake oh Lisu sijui nini