Tundu Antipass Lissu Akabidhiwa U Chief katika Jimbo Lake

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
18839355_1937368093167436_896415330210466453_n.jpg


Jana Ikungi kwa Mhe. Tundu Antipass Lissu alipokelewa kwa kishindo na kupewa heshima ya u Chief katika jimbo lake singida mashariki wananchi wameridhika na jinsi anavyo lipigania taifa.
 
Kichwa cha Tundu Lissu kimoja huwezi hata kulinganisha na vichwa vya ccm 100 Bungeni Ama kweli ccm ni ungonjwa mbaya no matter uko profisa au Dr ukishaingia ccm basi umepoteza sifa zote hizo na unakua fisadi na bendera kufata upepo .
Mtokwa povu tumemchoka sana
 
Kuna Gamba lilikuja na habari za uzushi hapa kwamba TL ameonekana pale JK Nyerere International Airport akikimbia nchi. Kwa bahati nzuri, uzi wake haukukaa hata robo saa ukaondolewa. Yaani Lumumba kuna utitiri wa wapuuzi hadi wanakera.
yule dada wa lumumba kwa uongo kakubuhu
 
Back
Top Bottom