Tundu Antipass Lissu Akabidhiwa U Chief katika Jimbo Lake

MBONA MIGWANDA HAO WANANCHI WAKO WAPI? HALAFU MBONA WAMEMVALISHA WIGI , WAMTAKE RADHI DOMO KAYA
 
18839355_1937368093167436_896415330210466453_n.jpg

Uanasheria ameona haumtoshi,sasa ameingia rasmi kwenye uchawi.
 
yaani LUMUMBA PRO wanajitahidi kwa propaganda jameni, si ndo hawa wamesema TL katoroka nchi mweh! aibu yenu.
 
Kichwa cha Tundu Lissu kimoja huwezi hata kulinganisha na vichwa vya ccm 100 Bungeni Ama kweli ccm ni ungonjwa mbaya no matter uko profisa au Dr ukishaingia ccm basi umepoteza sifa zote hizo na unakua fisadi na bendera kufata upepo .

Kichwa? sasa imekuwaje CHADEMA kikawa na hali mbaya? au ndiyo yale yale ya kukesha kwa wenzako wakati kwako kunateketea?
 
18839355_1937368093167436_896415330210466453_n.jpg


Jana Ikungi kwa Mhe. Tundu Antipass Lissu alipokelewa kwa kishindo na kupewa heshima ya u Chief katika jimbo lake singida mashariki wananchi wameridhika na jinsi anavyo lipigania taifa.

Ame-chief-ushwa kwa kuwaogofya sio!!! "Tutashtakiwa" Huu ndio uzuri wa watz wajinga tuko wengi!!!!
 
Back
Top Bottom