Tundu Antipas Lissu


Ukawa ilikuja baada ya jk kuwa madarakan,kwa hyo kumtoa isingewezekana na hapakuwa na umoja huu wa sasa....
 
Nasikiaga watu wanakusifia humu kumbe si lolote..mwandishi amemuuliza maswali Lisu sasa wee hayo ya Regina na Lowassa yameingiaje? Basi kuwe na awamu nyingine ndio ya kwao yaongelewe
 
Kiukweli hapo Tundu Lissu amebugi kabisa, badala ya kijibu hoja anaenda kumtaja Josephine, HAKUKUWA na huo ulazima!! Sasa nimeanza kuona ukosefu wake wa busara!

Lisu hakua akimjibu Slaa. Alikua akijibu kulingana na maswali aliyoulizwa na mwandishi wa habari wa VOA aliyempigia Lisu simu. Elewa mkuu!
 
Tokea zamani alipoanza tu julikana nilimpima na kumtasmini Lissu nimegundua alichelewa kutembea na kuongea kwa hyo kuna vitu muhimu kwa mtt wa maisha bora alivikosa kwa hyo msimrahumu tatizo sio yy protini ya ubongo ilikosekana nahisi mwajua ninachoamanisha.......
 
mtoa post we ndio umeshindwa kufikiri sawa,ulitaka majibu yapi?,kabla ya majibu kwa slaa,tunamaswali slaa anatakiwa kutujibu,press iliandaliwa na nani kwa gharama za nani ,kwa maslahi ya nani,alikuwa wapi siku zote,kwanini asijitokeze baada ya lowasa kuja kwa mara ya kwanza,na kwani na alihusika kumtafuta lowasa toka mwezi wa tano,je hakujua kama fisadi,na hoje zake zinajenga upinzani au zinabomoa na kwa maslahi ya nani?????,akiweza kutujibu tukalidhika,tungemuelewa baada october.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…