MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Du! Kwa hili neno mkuu umepitiliza nakuomba upunguze jazba.Munio wamanyokhwe!

Silifahamu liho mkuu lakini nijuavyo Mimi huyu NJAU ana unasaba na LISSU, no ndugu yake kiukoo na KWA jina lingine wanamwita "MWANTANDU" jina halisi kabisa na La liasi la kinyaturu.
Angeshinda vijiji 42/43 jipange
Nani wa kumtoa Tundu Lisu??
Wema sepetu ameapa kuwa Jonathan njau akishindwa kwa mara ya pili na lissu lazima 2020 asimame yeye mwenyewe kumtoa
Wadau wa JF,
Kwa muda wa siku tatu nimepiga kambi hapa katika jimbo la Mhe. Tundu A. Lissu, Wananchi wa Jimbo hili wanadai HAWATOMRUDISHA Mhe. Lissu Bungeni kwa sababu zifuatazo:
1. Wanadai toka apate Ubunge hajawahi kupeleka maendeleo yoyote Jimboni kwake
2. Toka apate Ubunge amekuwa akipiga kelele Dodoma; kelele amabazo haziwasaidii wao wa jimbo lake
3. Kali zaidi, Wanadai Lissu hana adabu kuwa alimtukana Mzee Nyerere na Karume Bungeni na kuwa wao hao wazee wanawaheshimu kuliko hata yeye Tundu Lissu
4. Wanadai amekuwa DALALI wa kutembea na FISADI ambaye yeye mwenyewe aliwaaminisha kuwa ni fisadi. Nakuwa, alivyogundua kuwa Lowassa siyo fisadi hakuwahi kurudi kwa Wananchi wake na Watanzania kwa ujumla kuwaambia kuwa Lowassa siyo fisadi. Wanahoji, kuwa, Lissu kagundua lini kuwa Lowassa siyo mwizi kama alivyowaaminisha? Je, yeye anamfahamu Lowassa kuliko wana-CCM walioamua kumkata pamoja na umaarufu wake?
Wana UKAWA, Mie nimewaletea hayo ili mjue namna ya kwenda kukomboa jimbo hilo na muwe na majibu ya hoja hizo za Wananchi.
Kwaherini kwa leo.
Kuna MKaskazini anagombea kwa tiketi ya CCM.Siunajua hawa KASKAZINI wakiwa CCM wanakuwa WAKWERE..........
Wadau wa JF,
Kwa muda wa siku tatu nimepiga kambi hapa katika jimbo la Mhe. Tundu A. Lissu, Wananchi wa Jimbo hili wanadai HAWATOMRUDISHA Mhe. Lissu Bungeni kwa sababu zifuatazo:
1. Wanadai toka apate Ubunge hajawahi kupeleka maendeleo yoyote Jimboni kwake
2. Toka apate Ubunge amekuwa akipiga kelele Dodoma; kelele amabazo haziwasaidii wao wa jimbo lake
3. Kali zaidi, Wanadai Lissu hana adabu kuwa alimtukana Mzee Nyerere na Karume Bungeni na kuwa wao hao wazee wanawaheshimu kuliko hata yeye Tundu Lissu
4. Wanadai amekuwa DALALI wa kutembea na FISADI ambaye yeye mwenyewe aliwaaminisha kuwa ni fisadi. Nakuwa, alivyogundua kuwa Lowassa siyo fisadi hakuwahi kurudi kwa Wananchi wake na Watanzania kwa ujumla kuwaambia kuwa Lowassa siyo fisadi. Wanahoji, kuwa, Lissu kagundua lini kuwa Lowassa siyo mwizi kama alivyowaaminisha? Je, yeye anamfahamu Lowassa kuliko wana-CCM walioamua kumkata pamoja na umaarufu wake?
Wana UKAWA, Mie nimewaletea hayo ili mjue namna ya kwenda kukomboa jimbo hilo na muwe na majibu ya hoja hizo za Wananchi.
Kwaherini kwa leo.
Silifahamu liho mkuu lakini nijuavyo Mimi huyu NJAU ana unasaba na LISSU, no ndugu yake kiukoo na KWA jina lingine wanamwita "MWANTANDU" jina halisi kabisa na La liasi la kinyaturu.
hahahaha jamani kwa hiyo kuna wagombea waKASKAZINI ccm?..basi tujadilini sera tu na sio sh*t,dini wala ukabila..