TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Kuna Indicator Kadhaa za Kiinteligensia ambazo, Zinaashiria hao Wabunge Niliowataja hapo Juu wanahitaji Ulinzi wa hali ya Juu Ikiwezekana Wawe na GPS Tracking Device, Ambayo haiondoleki kirahisi mwilini, Ili wakiweepo Katika hatari yoyote Wajulikane Mahali Walipo.
Naomba hili lisipuuzwe, Wapatiwe VIP GPS Protective Device. Sijui Kama System hiyo Ipo, ila, Office zao zinaweza kuimprovice na Kutumia zile zinazotumiwa na Watu walioko Parole USA. Kuna Viwshiria kuwa Watu hawa wanaonekana Kama Ni threat! Na zitto ameshafanyiwa Jaribio la Kukamatwa Kimazingira Fulani ati Gari lilikuwa halina Usajili, Ndio Mwanzo wa Kuleta yale ya Imran Kombe ya Kusema, " Kuna Gari liliibiwa na Jamaa aliyeitwa Fupi na Tulipoliona Gari Tukadhani Ni Fupi
Am serious na hili. Sio swala la Kupuuza hata Kidogo, And by the way Time may not be that friendly here. Some Embassies may be of great help! Na nione kiumbe yeyote anayesema huu Ni Uchochezi? Kuna Uchehezi gani kushauri Mtu Kujilinda?