Tunda Mti kati!

Mental Retard

Member
Joined
Mar 9, 2008
Posts
36
Reaction score
12
Wahenga wanasema - Kizuri kula na nduguyo...



"Tunda nalipenda... ntalipataje tunda!"
 
nenda Soko Matola, ukilokosa nenda Mabatini. Huko pia ukilikosa tegemea kulipata kwenye soko la Makinguru
 
Tunda gani hilo? La mti wa katikati!
 
Sipendi sana mambo ya wakubwa kuwekwa hadharani, lakini (mti wa mpakani ni upi huo?)
 
Nami naomba kukaribishwa (kama nafasi ipo)..hahaha....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…