Tunda Langu la Utotoni

yamedimika haya siku hizi
 
Mie mate yamenijaa. Ilikuwa kila kipindi cha mapumziko nakula hilo pili pili kibao na mbegu natafuna
 
Mie mate yamenijaa. Ilikuwa kila kipindi cha mapumziko nakula hilo pili pili kibao na mbegu natafuna
kwa wale wamama wauzaji pale shuleni hii nayo ni kumbukizi nyengine
 
Jamani tunda, ntalipataje tunda? tunda tam tam ntalipataje tunda? Tunda nalipenda ee ntalipataje tunda?
 
Mate ya menija [emoji39] [emoji39] [emoji39] . Raha yake ulichokonoe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…