Augustino Fanuel Massongo
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 1,278
- 666
Matunda haya yanaitwa ZEITUNI miti take ni moja kati ya mimea inayoheshimika sana ktk nchi za mashariki ya mbali na hasa ktk Bible lands kwani mafuta yake hutumika kama Ingredient mojawapo ktk kutengeneza Anointing oil au mafuta matakatifu.
tukuyu yapo kibao mpaka shuleni tukuyu secondary yapoHata tukuyu yapo kibao hayo
Kweli yapo Tukuyu huwa yanaitwa songwa kwa kinyakyusatukuyu yapo kibao mpaka shuleni tukuyu secondary yapo
Hapana hii sio mizeituniMatunda haya yanaitwa ZEITUNI miti take ni moja kati ya mimea inayoheshimika sana ktk nchi za mashariki ya mbali na hasa ktk Bible lands kwani mafuta yake hutumika kama Ingredient mojawapo ktk kutengeneza Anointing oil au mafuta matakatifu.
Hili tunda tamu hasa ndani lina mbegu kama ya brown hivi,shida kiswahili linaitwaje .kwetu milimani kulee twaliita tangausi wa waswahili tusaidieni.
Stafeli la upare