nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,689
Karibu sana.Your cost is reasonable! I like to write books, specifically religious & I have an ambition to publish one day; I have some in the form of soft copies. I will check on you when the APPOINTED GOD'S TIME comes.
Karibu sana.Safi sana mkuu.
Taarifa yako imetulia sana, nitakutafuta
unadhani kwa vitabu 50 unataka kuchapiwa kwa kiasi gani?Bei yenu ni kubwa sana! Mwandishi anatumia muda wake kufikiri mpaka kuandika halaf mgawane faida nusunusu mnaona ni sawa? Mimi naandika vitabu ila sichapishiwagi kwa bei hiyo! Kwa sababu kitabu utakachouza elf tano nyie mnakichapia laki mbili na nusu kwa nakala mia! Me niuze laki tano then hapo faida tumegawana nusu! nikiingiza gharama ya usambazaji si nitabaki na elf hamsini pekee kama faida? Tafakarini acheni tamaa
Vitabu hamsini kwa elf tano nitaviuza laki mbili na nusu wakati huo sijaingiza gharama za usambazaji! Nikitoa na pesa yenu ya kuchapia ? angalieni bei yenuunadhani kwa vitabu 50 unataka kuchapiwa kwa kiasi gani?
Asante.Karibu sana.
Asante.Karibu sana.
Mekupenda bureHabari wanajamii forum?
Kwa wale wenye ndoto za kuchapa vitabu vyao, sasa wakati umefika. Jipatie huduma ya kuchapiwa vitabu vyako kuanzia 50 na kuendelea kwa bei ya nzuri.
Kitabu chenye kurasa 100 mpaka 150 kwa nakala 50, kitachapwa kwa shilingi 200,000 ndani ya siku saba tu. Kwa copy 100, gharama itakuwa 370,000 ndani ya siku hizo saba.
Kitabu chenye kurasa 160 mpaka 300 kwa nakala 50 kitachapwa kwa shilingi 250,000 ndani ya siku saba. Kwa nakala 100, kitabu kitachapwa kwa shilingi 470,000.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0763044459.
Karibuni wote.
Sasa c uchape mwenyewe.Bei yenu ni kubwa sana! Mwandishi anatumia muda wake kufikiri mpaka kuandika halaf mgawane faida nusunusu mnaona ni sawa? Mimi naandika vitabu ila sichapishiwagi kwa bei hiyo! Kwa sababu kitabu utakachouza elf tano nyie mnakichapia laki mbili na nusu kwa nakala mia! Me niuze laki tano then hapo faida tumegawana nusu! nikiingiza gharama ya usambazaji si nitabaki na elf hamsini pekee kama faida? Tafakarini acheni tamaa
kichapa kitabu unahitaji nini na nini na total inakua ngapi?Vitabu hamsini kwa elf tano nitaviuza laki mbili na nusu wakati huo sijaingiza gharama za usambazaji! Nikitoa na pesa yenu ya kuchapia ? angalieni bei yenu
Kila kitu inategemea na ubora wa uchapaji na cover, ubora ndio unaweza kuwa bei juu au standard, na kama ukitaka bei ya chini unaweza ukachapiwa hata kwa laki moja ila usiangalie ubora. Biashara sasa hivi soko huria wao ndio wamepanga hivyo kama bei juu angalia wengine, kama unaona bei na ubora unaendana changamkia fursaBei yenu ni kubwa sana! Mwandishi anatumia muda wake kufikiri mpaka kuandika halaf mgawane faida nusunusu mnaona ni sawa? Mimi naandika vitabu ila sichapishiwagi kwa bei hiyo! Kwa sababu kitabu utakachouza elf tano nyie mnakichapia laki mbili na nusu kwa nakala mia! Me niuze laki tano then hapo faida tumegawana nusu! nikiingiza gharama ya usambazaji si nitabaki na elf hamsini pekee kama faida? Tafakarini acheni tamaa
Mbeya sehemu gani? I will be in Mbeya next week! nilitaka kuwatembeleaMbeya njoo tuku printie kitabu chako kwa bei nzuri. .