Unajua sisi tuna anza ku export toka Tanzania to Kenya kwa madalali, then ndo tunafikiria nje. Ila mnavyozidi kutukera, tutahakikisha tunasafirisha wenyewe.Huwezi linganisha kiasi mnachoexport na kile ambacho sisi tunaexport. Sisi tunaexport mara kadhaa kuwashinda. Nyie ndio mumeanza tu. Sisi tumekuwa tukiexport avocado kwa miaka nyingi sasa. Endelea kucheka cheka tu
Dawa ya mtu asiye na adabu ni kumtia makwenzi tu.Unajua sisi tuna anza ku export toka Tanzania to kenya kwa madalali, then ndo tunafikiria nje. Ila mnavyozidi kutukera, tutahakikisha tunasafirisha wenyewe.
Wanunuzi wanakuja Tanzania wenyewe sababu wanajua ninyi madalali tu na sio walimajiHuwezi linganisha kiasi mnachoexport na kile ambacho sisi tunaexport. Sisi tunaexport mara kadhaa kuwashinda. Nyie ndio mumeanza tu. Sisi tumekuwa tukiexport avocado kwa miaka nyingi sasa. Endelea kucheka cheka tu
bahahaha...Wacha waendelee kuji-nice.Acheni kujifariji. Kenya yatambulika kuwa kwenye kumi bora ya wauzao parachichi Duniani wakati Tanzania iko mkiani huko
Kenya iko mbali sana, tena sana.Yote sema, lakini kuwazidi uchumi Kenya hapo unaota, wako mbali sana. Hata kwa jicho la economic layman, angalia thamani ya Ksh against the dollar. Sisi tuna maliasili untapped, Ila matajiri wa siasa.
Duh huyo dada kapigilia nyundo iyo hashtag yake hakika in five years to come wata isoma nambaaaa
Halafu good news kwa sasa ni kwamba mazao mengi yakiwemo parachichi yanasafirishwa hapa hapa Tanzania yaani kupitia viwanja vya ndege kwenda kwenye masoko mbalimbali duniani.Duh huyo dada kapigilia nyundo iyo hashtag yake hakika in five years to come wata isoma nambaaaa
Ndio hivyo tukisha pata experience mnakosa parachichi kwani tutakuwa tunapeleka wenyeweHuwezi linganisha kiasi mnachoexport na kile ambacho sisi tunaexport. Sisi tunaexport mara kadhaa kuwashinda. Nyie ndio mumeanza tu. Sisi tumekuwa tukiexport avocado kwa miaka nyingi sasa. Endelea kucheka cheka tu
Duh huyo dada kapigilia nyundo iyo hashtag yake hakika in five years to come wata isoma nambaaaa
Chief ngoja nimuite mzalendo mmoja toka kenya asome hii ili kesho akapime corona na vipimo vitoke + MK254
Chief ngoja nimuite mzalendo mmoja toka kenya asome hii ili kesho akapime corona na vipimo vitoke + MK254