Hapa inawezekana pia alikuwa anapigwa zengwe na makampuni makubwa ya huko magharibi yalikuwa yanatuuzia ARVs kwa fedha za wamarekani
Serikali yetu Badala ya kumsaidia arekebishe makosa atengenezw nzuri wakafungulia sijui kesi ya uchumi.
Ni sawa na ukikutwa umeunda bunduki unafungwa.Nadhani kama nchi tunatembeaga na mihemuko ya kutoka magharibi.
sasa mtu amewekeza mitambo mikubwa na kusajiliwa na kuajili mamia wa Tz,halafu unapigwa za uso