miss_mbeya
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 1,072
- 1,021
Ulinipa 400,000 means ni pesa ya investment, Ila 4 means stability & predictability inamaanisha 4 stand for saving, deposits & for family budget, 4 doesn't promise great wealthWanajamii Forum namsaidiaje huyu kijana ?
Ana umri gani Mkuu. Anafundisha masomo gani je unashindwa kumtaftia connection ? Unabidi kumpa njia za kupita ili asibaki na regretsHabari wana Jamii forum, nilikuwa naomba mawazo yenu namna nitakavowqshauri hawa Vijana yatima.Ipo hivi kuna kijana ni wa mwisho kuzliwa kwao ,wazazi wake walimuacha akiwa fomr one ,walifariki kwa hiv positive .Familia hizi ni zile
Ahsante mkuu kwa ushauri wako ,nilisahau kuelezea kuwa nilimpa kama mtaji akasema naenda kufanya biashara Mbeya mjini ,ya suruali za mtumba ,na anaendelea ila anasema biashara ngumu wakati mngine hauzi kabisaUlinipa 400,000 means ni pesa ya investment, Ila 4 means stability & predictability inamaanisha 4 stand for saving, deposits & for family budget, 4 doesn't promise great wealth
Sasa ushauri; mpe 500,000 alafu mwambie awekeze yaan afanye investment, 5 is associated with fortune & money, 5 suitable for investment & deposits, wazo la biashara auze hata maziwa fresh na mtindi atatoboa huku akisubiria Ajira au afungue hata saloon ya kunyoa sio vibaya ni wazo tu
Ni kijana aliezaliwa 1991,masomo ya arts ,connection nimeshindwa mkuu kama unaweza nisaidia please naomba msaidieAna umri gani Mkuu
Anafundisha masomo gani je unashindwa kumtaftia connection ? Unabidi kumpa njia za kupita ili asibaki na regrets
Anafundisha masomo gani?Ni kijana aliezaliwa 1991,masomo ya arts ,connection nimeshindwa mkuu kama unaweza nisaidia please naomba msaidie
Biashara inahitaji uvumilivu lakini pia mwambie ajiongeze km ana taaluma ya ualimu anaweza akaanzisha kitu kinachohusiana na taaluma yake km kutengeneza material za shule na kuziuza mkononi au kupitia whatsapp pia anaweza akaanzisha madarasa ya mtandao km WhatsApp kwa kuanzisha topics na kuwafundisha wanafunzi watamlipa kidogo kidogo na katika hao wapo watakao taka awafundishe physical (hii niliifanya nilipokua shinyanga huko Ilamata na maeneo ya Malampaka) kwa wanafunzi atapata pesa in a side hustle, kwan amesomea ualimu wa nini ?Ahsante mkuu kwa ushauri wako ,nilisahau kuelezea kuwa nilimpa kama mtaji akasema naenda kufanya biashara Mbeya mjini ,ya suruali za mtumba ,na anaendelea ila anasema biashara ngumu wakati mngine hauzi kabisa
Arts masomo gani Geography & History au ?Ni kijana aliezaliwa 1991,masomo ya arts ,connection nimeshindwa mkuu kama unaweza nisaidia please naomba msaidie