Tunawaombeni msamaha wanaume wa Dar

Umepiga Ikulu, umeona vibamia na vikorosho vilivyokuja na majibu? utadhani hawatumii vumbi la Congo.
 
yaani mleta maada unaniangusha sana
 
nashangaa umesalenda mapema namna hii. bya the way huku mjini watu hawali sana chipsi siku hizi maana ni gharama vyuma vimekaza
Sija salenda wala nn...ila sipendi kubishana na mashoga.
 
Chips saiz luxury diet mkuu....

Alafu wengi saizi wanapiga pasi ndefu..

Cha mchana wengi hawakioni...

Hhahahahaa...

Uncle Maguuu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…