Ndugu zangu tunaweza kuwa na itikadi ya vyama tofauti lakini kama watanzania, tumeona jinsi gani viongozi wetu wanafanya mambo ya hovyo na matendo ya kiufisadi na wizi wa mchana kweupe, lakini they are getting away with it , yote kwakuwa kuna system wamejijengea ya kulindana na si rahisi kuchukuliana hatua.
Tumeshuhudia wanyama wetu wakiibwa , mbuga zikiuzwa, nyumba za viongozi zikiuzwa oysterbay na badala yake viongozi kupangiwa hoteli, tumeshuhudia watumishi wa serikali wakichangishana hela ili kupitisha bajeti zao bungeni, tumeshuhudia wazazi wakikosa vitanda na kulala chini huku wskisibiri kujifungua, na wengine kufariki kwa kukosa huduma ya afya kisa tu hana fedha ya kulipia huduma za afya ili nayeye apate haki yake ya msingi ya kuishi na haya ni hapa hapa tunapopaita mjini dar-es-salaam najiuliza huko kijijini hali ikoje?na mengine mengi tuyaweke humu ili watanzania wenzetu wajue kuna mapungufu gani kwenye serikali yetu.
Naandika haya kwania moja tu ili tupate maendeleo na kubadilisha hali hii tunshitaji mabadiliko ya hali ya juu ingawa vyama vyetu vya upinzani vinaonyesha udhaifu mkubwa na kutufanya wananchi tujiulize mara mbili kama kweli hawa wapinzani wetu wana nia ya dhati ya kutukomboa.
Ombi langu kwa wapinzani mkae mjipime muangalie mmekosea wapi ili hayo mapungufu yenu muyarekebishe ccm bila ya changamoto hawawezi kufanya kazi, kwahiyo ongezeni pressure ili mambo yaende,