Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Duh wachaga nyie
Duh wachaga nyie
....wana mambo kwa kweli juzi juzi tu hapa kuna story ya jamaa mmoja sijui alimfanyaje yule mungu wao kule migombani mbona ilikuwa kasheshe...
Huyo driver wa tanker anatumia kicha kufikiri au ubishi.
Aisee......
Kuna sherehe nyingi sana nchi hii.....wachagga tumeamua kuchagua xmas........
Mnaweza na nyie kuchagua moja mkaamua kumigrate.......
Kuna sikukuu za Muungano......mapinduzi......ccm.......mbio za mwenge.......etc.....
Mtuwacheeeeeeeeeeee.........
Magufuli angepiga marufuku sherehe za xmass na aseme kila mtu pesa aliyokuwa amejiwekea kusheherekea sikukuu apeleke kwa waathirika wa bomoa bomoa ingependeza
Magufuli angepiga marufuku sherehe za xmass na aseme kila mtu pesa aliyokuwa amejiwekea kusheherekea sikukuu apeleke kwa waathirika wa bomoa bomoa ingependeza