Tunavyosutwa na Prof KEN EDWARDS

Upumzike kwa amani Prof Mkhululi.... Tutazidi kukumbuka hadithi zako kwenye msonge!!
 
Mliotaka wasififu wake.................

 
Mie nasikitishwa na jinsi nchi yetu inavyoendeshwa kiwizi wizi mtu akiwa jizi na tapeli ndio anapewa kipaumbele wengine wote ambao ni waadilifu wanaambiwa maadui wa serikali which is which. Ken Edwards nakumbuka alimsomesha aunty yangu ambaye yupo UN sasa hivi katika wahadhiri ambao siku zote anawakubali ni huyu. Si mtu ambaye corrupt yaani anachanganya mambo yake binafsi na kazi, alikuwa siku zote on time darasani, halafu nondo alizokuwa akishuka zimeenda shule.

Ulaya watu wanatoa majina ya shule (Business Schools to remember these generous people e.g. Said Oxford Business School ambayo ni ya Oxford University) sidhani mkiita Ken Edwards University of Dar-es-Salaam Business School kuna ubaya. UD kama wasomi mnatakiwa muonyeshe msimamo wa kisomi na sio kisiasa kwasababu msomi yeyote hatakiwi kuwa influence na mtazamo au interest yeyote anapotekeleza majukumu yake na kutoa msimamo wake.
 
jamaa atazikwa JUMAMOSI na nasikia makampuni ya charter planes yame jaa yote

mazishi yatakuwa na WHO IS WHO walio someshwa na KEN

UD nao wametoa mabasi kwenda huko
 
jamaa atazikwa JUMAMOSI na nasikia makampuni ya charter planes yame jaa yote

mazishi yatakuwa na WHO IS WHO walio someshwa na KEN

UD nao wametoa mabasi kwenda huko



Hapo ndipo ninapowachoka Watanzania.

Kwa nini hizo pesa zote kwa ajili ya charter planes na mabasi ya kwenda kwenye mazishi wasingezitoa wakati wa kumuuguza?
 
Hapo ndipo ninapowachoka Watanzania.

Kwa nini hizo pesa zote kwa ajili ya charter planes na mabasi ya kwenda kwenye mazishi wasingezitoa wakati wa kumuuguza?

Na kwa nini hao wanaobanana kwenda kumpa heshima za mwisho hawakumsaidia kupata uraia? Hawa jamaa kama kweli wana uwezo wa ku-charter ndege, bila shaka wana influence kubwa serikalini. Kama alivyosema mleta mada. Wote tunasutwa na marehemu! Waende basi na cheque ya malimbikizo yake na wampe uraia posthumous! Tuanze kuona aibu.

Amandla...........
 

Fundi Mchundo:

Siamini kinachosemwa hapa. Hila kuna kitu kimoja ambacho ata mimi nilikuwa nacho. Wengi tulisoma japokuwa vishule vidogo tunaamini kuwa mafanikio yetu yanatokana na NECHA zetu na tunasahau kuwa kuna watu waliojenga mazingira ya mafanikio yetu.

Wanafunzi wengi wamepita mikononi mwa huyu jamaa na wanashikiria nafasi kubwa lakini wachache waliomkumbuka baada ya masomo.

Wao walitakiwa ku-rise hii issue wakati akiwa hai. Kama wanafunzi na maProfesa wanaweza kugoma hili posho na mishahara iongezwe, kwanini walishindwa kufikiria maisha ya mmoja wa wanaJumuia yao?
 

...we must now consider ways of honoring this great man. And here are some suggestions:

Well, how about this, let' start honoring the late Prof. Joshua Nkhululi by reffering him by the name he chose to be referred by, Prof. Joshua Nkhululi.
 
Well, how about this suggestion, let' start honoring the late Prof. Joshua Nkhululi by reffering him by the name he chose to be referred by, Prof. Joshua Nkhululi.

The man gave up his "slave name" I also wondered why other people are still embracing it!!
 
I suspect kuna watu wa ngazi za juu serikalini hawakutaka apate uraia, otherwise it just does not make sense.
 
kuna memba mmoja ghafla sikumbuki jina lake ana slogan yake katka JF anasema "MIAFRIKA NDO TULIVYO" naona inasibu, hebu hushangai watu wamaana kama hawa walistahili kutunukiwa nishani ya ushujaa kwa mchango wao katika taaluma leo mijitu tu mijizi, mijambazi ya nchi hii tunaipigia makofi na kuisifia kikubwa walichofanya hakijuulikani....stup...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…