Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,890
- 14,601
Namna pekee Waziri anaweza kusema maneno kama mwananchi wa kawaida ni kwa kujiuzulu uwaziri.
Kama hajajiuzulu uwaziri, basi atasema kama Waziri.
Nilipoona habari za "nasema kama mwananchi wa kawaida tu" nikaona huu ni ujinga mtupu hapa.
Sasa wewe Kigwangalla kazi yako unaitaka bado. Nape Nnauye umeona alivyotendwa, unategemea tutarajie kwamba utamkosoa rais waziwazi magazetini?