Tunauza Water Quality Tester

Tunauza Water Quality Tester

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
1,467
Reaction score
2,760
Kagua Ubora wa Maji Yako Leo!
Je, unajua maji unayokunywa ni safi kiasi gani?
Tumia TDS Meter kupima kiwango cha usafi wa maji kwa sekunde chache tu.

Maana ya matokeo (TDS value):
0–20 ppm → Maji safi kabisa, salama kwa kunywa
21–50 ppm → Maji ya kawaida, yachemshe kabla ya kutumia
51–100 ppm → Maji ya madini (bora kwa kunywa)
101–200 ppm → Maji magumu, yapunguze kabla ya matumizi
Zaidi ya 200 ppm → Sio salama, yana uchafuzi

Kwa afya bora, hakikisha maji yako yapo chini ya 100 ppm.
Tunapatikana: Arusha Mjini
0712 350 159

1760697047633.jpg
1760697002619.jpg

1760696899469.jpg
1760696796038.jpg
 
Unasubiri uulizwe bei? Unashindwa vipi kusema inatumia nishati ipi?
 
Back
Top Bottom