Tunao vifaranga wa asili na mayai ya asili. vifaranga wapo wa wiki mbili hadi miezi miwili. tupo morogoro mjini. kwa masiliano. 0769070257/ 0714 739914. karibuni sana
pia tunapokea ordar kwa wanaohitaji kuku wengi. kama harusi. siku hizi watu hawapendi kula broiler. tafadhali wenye sherehe msiwalishe watu broiler. yani mtu akuchangie laki moja unashindwa hata kuku wa asili! ukute mtu mwenyewe hanywi hata pombe! hebu wafurahisheni wateja wenu! unaweza pata kuku hata kwa elfu kumi. karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.