Kalamu Obama/Balaji ni tsh 5,000 kwa boksi moja lenye kalamu 50Madaftari na kalamu mnauzaje kwa bei ya jumla ?
Nataka Nataraj.Kalamu Obama/Balaji ni tsh 5,000 kwa boksi moja lenye kalamu 50
Tsh 10,000/= tu kwa boksiNataka Nataraj.
- How much ?
Elfu 13,000/=Spring file zile za plastic mnauzaje kwa dozen, nataka na bei ya counter book bei ya jumla
Samahani simu yetu inapatikana kuanzia Saa 2 Asubuhi hadi saa 12Jioni jumatatu hadi ijumaa na kuanzia saa 4Asubuhi hadi 11 jioni kila jumamosiNaomba email yenu tuwasiliane
stationary means not moving na stationery means writing and other office materialsChukua kamusi hapo tafuta tofauti kati ya "stationary" na "stationery" na usome hayo maneno ujue maana na tofauti yake
Jipatie White board zenye Stendi kwa bei nafuu sana 90cm*60cmView attachment 726008 View attachment 726014