Tunauza vifaa vya stationaries kwa bei ya jumla na rejareja tunapatikana Tegeta skansika

Spring file zile za plastic mnauzaje kwa dozen, nataka na bei ya counter book bei ya jumla
 
Hivi mko serious na biashara kweli?

Simu haipatikani jf hampatikani!
 
Jipatie White board zenye Stendi kwa bei nafuu sana 90cm*60cm
20180326_104438.png
20180326_103908.png
 
Habari,
Naomba kujua bei ya vitu vifuatavyo
Rim carton A4 bei gani?
Manila Carton bei gani?
Bahasha A4 carton bei gani?
Bahasha A3 carton bei gani?
Rim carton A3 carton bei gani?
Transparent carton bei gani?
DVD carton bei gani?
CD-R carton bei gani?
CD-RW carton bei gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom