MIFUGO PLUS GROUP
HUDUMA ZETU KATIKA TASNIA YA UFUGAJI
SIMU >0765444361
TEGETA OPPOSITE THE ONE HALL
FREE DELIVERY
HUDUMA ZETU KATIKA TASNIA YA UFUGAJI
~ Mashine za kutotolesha vifaranga [full automaticIncubator]
vichanja vya kufugia kuku wa nyama na mayai (Poultry cage's).
~ Mashine ya kutengeneza chakula chenga chenga [pellet machine].
~ Taa za joto maalumu kwa ajili ya kulelea vifaranga.
~ Vifaa vya kuundia Incubator [incubator accessories].
~ Tunafunga Mifumo ya kisasa ya kunyweshea maji kuku pamoja na chakula.
~ Tunatoa elimu ya ufugaji pamoja usimamizi wa mashamba.
~ Tunajenga mabanda ya kisasa ya ufugaji.
~ Tunauza nipple za kunyweshea maji nguruwe na kuku
Tunauza vifaranga wa kienyeji na kisasa.
~ Mashine ya kukatia kuku midomo.
~ Hereni za mifugo [anima ear tag].
~ Mashine ya kunyonyoa kuku manyoya [plucker machine].
~Mzani wa digital wa kupima chakula cha Mifugo.
~ Heater za gas kwa ajili ya kulelea vifaranga.
~ Mashine ya kuchakata malisho ya mifugo [chaff cutter machine] nk.
SIMU >0765444361
TEGETA OPPOSITE THE ONE HALL
FREE DELIVERY