Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,629
- 46,077
huyu dogo ni muaminifu mkuu jana aliniletea mzigo wangu mubashara home .Nimesema naitaka hiyo kifaa ila nipo Dodoma naipataje?
huyu dogo ni muaminifu mkuu jana aliniletea mzigo wangu mubashara home .Nimesema naitaka hiyo kifaa ila nipo Dodoma naipataje?
huna kifaa cha kuongeza chura?Kariakoo mkuu
Tandamti street
weka picha mkuu kitu nakupenda unaeleza kwa pichakipo,na ntakupa list ya mazoezi ya kuongeza chura barabara
miss wewe ni Motorola bapa nn???huna kifaa cha kuongeza chura?
muulize muuzaji aliniona janamiss wewe ni Motorola bapa nn???
hehehe sasa ukiongeza si itakua sheeedamuulize muuzaji aliniona jana
ahaaaa eti mimi bapa au?
halafu jana hukuweka hiki bora hiki kuliko kile cha janahii hapa ina menyu yake ya mazoezi inafaa sana
chura anatakiwa awe na mvutohehehe sasa ukiongeza si itakua sheeeda
Sh.ngapi trimmer
Tummy trimmer zote za spring moja na spring mbili zinapatikana