Tunauza tofali za kuchoma

Tunauza tofali za kuchoma

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,615
KWA WAKAZI WA JIJINI MWANZA WANAOHITAJI TOFARI CHOMA, TUWASILIANE ...
upload_2016-7-12_11-17-12.png
 
Sh ngapi kwa kila moja?
Tshs. 250 ukinunulia site, ukitaka kusafirishiwa tunaangalia na umbali toka tofali zilipo. Kiuhakika nyumba za tofari choma ni imara na nzuri sana japo siku hizi watu wamezibukia hizi tofari za block zisizokuwa na kiwango.
 
jamani mbona tunaharibu lugha? sijui tumtafute prof. Mulokozi awe anaedit kwanza maana hamna neno ....TOFARI....labda kama unaongelea kitu kingine
kama umeelewa kinachotangazwa hakuna shida, kama hujaelewa tafadhali uliza ujibiwe, hapa sio jukwaa la kiswahili, hapa ni jukwaa la matangazo madogo madogo,

pili, sijajua kama kweli wewe ni mkamilifu kwenye hii lugha ya pwani, mi nimezaliwa bara, nimekulia bara na mpaka sasa niko bara, lugha hii nimejifunza tu kwa sababu ni lugha ya taifa.
 
lakini unapotoa tangazo kama hilo lazima tena ukijua linasomwa na karibia dunia nzima maana JF ipo kila mahali ni lazima ujiridhishe, mbona sisi kiingereza tunajifunza lakini tunakuwa makini kabla ya kukiandika, tafadhali badilika
 
Unataka mzigo au umekuja kufanya editing?

English iko mara mbili ... unaongelea ipi?
 
sijajua unauza nn maana hizo ....tofari... sizijui @ Tutor B
Picha inabeba ujumbe zaidi ya neno. Kama hukuona picha basi ... pita uende tu! Wenye nia wameishaPM kutaka maelezo zaidi ..
 
duuh kwel huyu muuzaj kitaka unisafirishie hilo TOFARI mpka daslam itakua kias gan kwa moja
 
duuh kwel huyu muuzaj kitaka unisafirishie hilo TOFARI mpka daslam itakua kias gan kwa moja
Soma vizuri mkuu .. KWA WAKAZI WA JIJINI MWANZA WANAOHITAJI TOFARI CHOMA, TUWASILIANE ...
 
Soma vizuri mkuu .. KWA WAKAZI WA JIJINI MWANZA WANAOHITAJI TOFARI CHOMA, TUWASILIANE ...

okey asante mkuu kwa ufafanuzi HAYA WATU WA MWANZA FURSA HIYO HAPO YA KUPATA TOFARI BORA KABISA
 
jamani mbona tunaharibu lugha? sijui tumtafute prof. Mulokozi awe anaedit kwanza maana hamna neno ....TOFARI....labda kama unaongelea kitu kingine
Na hapo kwenye BEI RAISI= BEI RAHISI ila usishangae sana mkuu watu wengi sana wanapata tabu ya kuandika haya maneno ya lugha yetu adhimu ya kiswahili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom