Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Anayehitaji IBM SPSS 20 NI BURE TU ANIONE
ni PM namba yako nitakupigia Jtatu uje uchukue nipo UDSMNipe namba zako basi tuweze kuwasiliana nahitaji
Anayehitaji IBM SPSS 20 NI BURE TU ANIONE
Hongera kwa kugawa mkuu, angalia usigawe na tigo bure mkuu.Anayehitaji IBM SPSS 20 NI BURE TU ANIONE
muda mwingine kama unaona huna uhitaji wa kitu kilichotangazwa bora ukae kimya.............huwezi jua aliyeweka tangazo alikuwa na hali gani mpaka anaamua kuweka tangazo kama hilo.......kama we unahisi unatoa huduma za bure ni bora uanzishe thread ya kwako afu uwaelekeze watu huduma zako za bure..................kuna watu hata torrent hawaijui so hao ndo targeted customers sio wewe uliyejifunza kuright click...ni mtizamo 2!!!!!!!!!!!!!!!!!!!