Ni kweli zimepitwa na wakati! Ila kwenye suala zima la 'mziki' mnene, aisee hizo redio zimebarikiwa.Hata laki moja ni ghali sana mkuu,hizo zishapitw na wakti
Inakula Bluetooth ?Ni mtumba wenye mziki mnene, ina am/fm redio tuner, aux support, tape, na speaker 2 kubwa zenye sound ya maana, sony og kabisa. Bei ni 220000 tu piga 0734 680839View attachment 2168465View attachment 2168468View attachment 2168469
Matatizo ya kuzoea subwoofer za kichina ndio haya Sasa.Hata laki moja ni ghali sana mkuu,hizo zishapitw na wakti
Shillingi elfu kumi na ngapi huu mziki?Ni mtumba wenye mziki mnene, ina am/fm redio tuner, aux support, tape, na speaker 2 kubwa zenye sound ya maana, sony og kabisa. Bei ni 220000 tu piga 0734 680839View attachment 2168465View attachment 2168468View attachment 2168469
Mkuu usikariri gikra zako tu,nimeuza sana radio hizi za mtumba nazijua sana kuliko wewe.ilikuwa biashara yangu kubwa sana.sijasema sio nzuri nimesema zimepitwa na wakati.Kwa mfano tape sasa hivi zipo?Matatizo ya kuzoea subwoofer za kichina ndio haya Sasa.
Kingine hazina hata Bluetooth mkuuMkuu usikariri gikra zako tu,nimeuza sana radio hizi za mtumba nazijua sana kuliko wewe.ilikuwa biashara yangu kubwa sana.sijasema sio nzuri nimesema zimepitwa na wakati.Kwa mfano tape sasa hivi zipo?