Mkuu ila kuwa walakini juu ya post yako
Ni kweli hairuhusi kuingia watu ovyo kwenye food processing industries lakini huwa wana maduka ya kuuzia product zao.
Kiwanda unachokizungumzia ni Omega kipo Ilemela, wale wanauza Samaki nje ya nchi pia picha ya Samaki ulio waweka kwenye uzi wako wako chini ya 50cm, ambao kisheria waharuhusiwi kuvuriwa, unapata wapi kibali cha kuwasafirisha Samaki walio chini ya kiwango ili kumfikishia mteja wako alie mbali maana lazima upate kibali kutoka kwenye mamlaka husika la lazima wakague mzigo kabla hawajakupa kibali.
Ila endelea na biashara yako mkuu!!
Sent using
Jamii Forums mobile app