everythingood
Member
- Feb 20, 2017
- 97
- 39
Zitakuwepo hivi karibunWanaume akuna
Hiyo sina kwa sasa...nina blue for men,relation,royal men by lonkoom..ni nzuri pia..Mkuu seduction perfume unauza Tsh ngapi?
Tunapatikana mbezi-kimara....tunauza kwa rejareja..ukihitaji kwa jumla tunaweza kuletea kwa oda maalum..Mnapatikana wapi?
Mm ni muuzaj nami nataka za jumla kama mnazo
Naweza kujua bei za jumla zipojeTunapatikana mbezi-kimara....tunauza kwa rejareja..ukihitaji kwa jumla tunaweza kuletea kwa oda maalum..
[emoji120] [emoji120] [emoji120]UKO VEMA MKUU
Nitakutumia orodha na bei zake...sababu zinatofautiana beiNaweza kujua bei za jumla zipoje
Naweza kujua bei za jumla zipoje