Tunauza paka aina ya persian

Tunauza paka aina ya persian

MKT

Member
Joined
May 10, 2019
Posts
10
Reaction score
53
Tunauza Persia cat | #Paka wa kizungu

One of the most expensive breed of cat

#Persian #persiancat #Persiancattz

Kupata huduma wasiliana nasi kupitia

simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 765 291 489
+255 625 994 023

Email:
mifugotz@gmail.com

IMG_20190524_083004_999.jpeg
 
TUNAUZA #PAKA AINA YA PERSIAN

Persian cats have a very loyal following of people who love them as pets.

They have many of the good qualities of cats such as being easy to take care of and cleanliness.

They are also very social and friendly.

#Persian #persiancat #Persiancattz #paka #nyau

Kupata huduma wasiliana nasi kupitia

simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 765 291 489
+255 625 994 023

Email:
mifugotz@gmail.com

@mifugo_tz
@kilimo_tz
@afyakiganjani

#mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #kuku #broiler #tanzania l #bata #kuchi #kilimoufugaji #kilimanjaro #sungura #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani
IMG_20190524_143748_495.jpeg
 
Huyo paka ana manufaa gani ikiwa kwangu hakuna panya?
 
Mkuu nitakutafuta

Eneo ninaloishi lina panya sana kwa sababu watu bado wanajenga. Nina paka watano, ila hao wanaweza kuua panya n.k. au ni wa kukaa ndani tu kulelewa
 
Paka chakula chake panya..kutuletea paka wanaotaka kula Pizza na bugger sio vizuri..hao ni kutiana hasara tu..Huyo paka na uhakika hata ugali hali Litataka Wali au biriani..wanini sasa
 
Mkuu nitakutafuta
Eneo ninaloishi lina panya sana kwa sababu watu bado wanajenga. Nina paka watano, ila hao wanaweza kuua panya n.k. au ni wa kukaa ndani tu kulelewa
Acha kuwa mshamba, hao paka hawali panya hao wakimwona panya hukimbilia kitandani na kujifunika na shuka hao ni kama urembo wa nyumba, wanakunywa maziwa yaliyo chemshwa hawali uchafu......

Ukitaka kuwaondoa hao panya watafute wamakonde
 
na usipotupatia maziwa tunakupiga jicho fulani la madharau hadi utajistukia.

hata utupe samaki ana miiba utakuta samaki wako yuko pale pale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom