Tunauza nguo za kiume

Sawa ila usiongee uongo sasa kwamba unazo ambazo hazipauki
Kuwa mkweli tuu wala Sio lazima uandike unazo ambazo hazipauki!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijadanganya ndugu, kadeti zipo za ubora tofauti kulingana na Bei yake,..nasisitiza ishu sio jina la kadeti kwamba ni polo, exposed, millionaire, Zara, camel etc...ishu ni io brand au kadeti husika ni ya Bei gani??? Hata izo exposed zipo zinazopauka that means ni ya Bei ndogo ..sisi wauzaji tunapoenda chimbo tunakutana na kadeti grade 4 tofauti Kila moja Ina Bei yake( sitataja) Apo inategemea aliyekuuzia alinunua daraja 1, 2, 3 au la 4..ishu sio brand, ishu ni material ya kadeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umemtaja Paul Smith hapo huyo jamaa anachelewa kupauka sana. Nadhani hata Polo hamfikii. Nataka kununua tena Paul Smith lakini kila nikitafuta nakutana na Polo na ikizidi sana Billion sijui.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Paul smith anajitahidi kiasi chake.
 
So una maanisha Exposed hata Paul Smith hakamati kwa kuchelewa kupauka?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Mkuu nakuhakikishia 100%, Paul Smith hasogei. Exposed wako vizuri sana. Toka nianze kuvaa kadeti hawa jamaa nimewakubali. Labda wafanyabiashara wachakachue.

Nakushauri nunua 1 ujaribu halafu utakuja kusema.
 
Mkuu nakuhakikishia 100%, Paul Smith hasogei. Exposed wako vizuri sana. Toka nianze kuvaa kadeti hawa jamaa nimewakubali. Labda wafanyabiashara wachakachue.

Nakushauri nunua 1 ujaribu halafu utakuja kusema.
Fresh ngoja nitacheki hiyo Exposed

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Mkuu wengine Kariakoo hatuwezi kufika. Nikitaka pc 2 naweza letewa Tabata?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom