Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,773
- 40,444
poa nakutafuta nijionee. Ikiwa ukanjanja tena Mungu atakulaani.😀Mimi mwenyewe nlishauza kadeti ambazo sio za ubora Sana, baada ya malalamiko mengi kutoka kwa wateja, nmebadili Aina ya bidhaa zangu, Sasa kadeti hizi na uhakika ni quality nzuri Sana, usishangazwe na Bei hii ukadhani kuwa zitakuwa ni zile zile za siku zote, ni kwamba nafanya hivi ili kupanua soko langu
Sent using Jamii Forums mobile app