Tunauza na kufunga CCTV (Camera za Ulinzi)

Tunauza na kufunga CCTV (Camera za Ulinzi)

Marketer

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
261
Reaction score
55
Tunauza na kufunga CCTV cameras kwenye Majumba, Yard, Parking, Maofisi, Madukani, Viwanda, Bank na kwingineko. Bei zetu ni nafuu sanaaa, na vifaa vyetu ni original.

Bei ya camera (Inategemea aina kama ni Samsung, Sonny, Lg na ukubwa wa lense, na kama ya nje au ndani) inarange 200,000 - 700,000/ camera na zina guarantee ya 1 year.

Mawasiliano

0718702846
 
Tuwekee estimates za kufunga systdm nzima, vifaa pamoja na ufundi.
 
Tuwekee estimates za kufunga systdm nzima, vifaa pamoja na ufundi.

Mkuu una makusudi kweli ya kutaka kunikosanisha na wateja wangu! Wewe unafahamu fika kuwa system hazifanani hataaa! Sasa nawaza nikuwekee system ya aina gani?

Mfano! Juzi bandarini kwenye yard ya mwarabu mmoja hataki makorkoro mengi tumefunga Cemra 2 za PPZ Camera inaona 360, zinaona mita 100 za bei ndefu, kila moja cost yake ni 1.8Mills.

Kuna bank pia tumefunga camera kibao tudogo tudogo, twa cost ndogo!

So sisi tuna camera nyingi za kila uwezo, wewe tu mteja ulivojipanga, ukitaka vitu vya ukweli tunakupatia, ukitaka vitu vya kawaida kwa uwezo wako tunakupatia. Hakuna standard au general measure. Tunakusikiliza tunakupa available options unaangalia mfuko wako then unachagua.
 
Marketer kwa mfano mimi nahitaji camera 2 tu ndogo niweze kumonitor activities kwenye restaurant yangu. Roughly inaweza kukost how much full installation?
 
Last edited by a moderator:
Marketer kwa mfano mimi nahitaji camera 2 tu ndogo niweze kumonitor activities kwenye restaurant yangu. Roughly inaweza kukost how much full installation?

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TR]
[TD="width: 73"]
NO
[/TD]
[TD="width: 204"]
EQUIPMENTS
[/TD]
[TD="width: 106"]
PCS
[/TD]
[TD="width: 128"]
Cost/piece
[/TD]
[TD="width: 128"]
Total Cost
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 73"] 1
[/TD]
[TD="width: 204"] CAMERA
[/TD]
[TD="width: 106"] 2

[/TD]
[TD="width: 128"] 200,000

[/TD]
[TD="width: 128"] 400,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 73"] 2
[/TD]
[TD="width: 204"] 4-CH. DIGITAL VIDEO RECODER(DVR)

[/TD]
[TD="width: 106"] 1
[/TD]
[TD="width: 128"] 250,000

[/TD]
[TD="width: 128"] 250,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 73"] 3
[/TD]
[TD="width: 204"] 17” LCD MONITOR

[/TD]
[TD="width: 106"] 1
[/TD]
[TD="width: 128"] 250,000

[/TD]
[TD="width: 128"] 250,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 73"] 4
[/TD]
[TD="width: 204"] POWER SUPPLY
[/TD]
[TD="width: 106"] 1
[/TD]
[TD="width: 128"] 200,000
[/TD]
[TD="width: 128"] 200,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 73"] 5
[/TD]
[TD="width: 204"] BNC CONNECTOR
[/TD]
[TD="width: 106"] 6

[/TD]
[TD="width: 128"] 5000
[/TD]
[TD="width: 128"] 30,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 73"] 6
[/TD]
[TD="width: 204"] TRUNK/CONDUITS
[/TD]
[TD="width: 106"] 10

[/TD]
[TD="width: 128"] 5000
[/TD]
[TD="width: 128"] 50,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 73"] 7
[/TD]
[TD="width: 204"] CO-AXIAL CABLE

[/TD]
[TD="width: 106"] 1

[/TD]
[TD="width: 128"] 150,000

[/TD]
[TD="width: 128"] 150,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 73"] 8
[/TD]
[TD="width: 204"] POWER CABLE

[/TD]
[TD="width: 106"] 1
[/TD]
[TD="width: 128"] 60,000

[/TD]
[TD="width: 128"] 60,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 73"] 9
[/TD]
[TD="width: 204"] HDD( Hard disk drive 500GB)

[/TD]
[TD="width: 106"] 1
[/TD]
[TD="width: 128"] 200,000

[/TD]
[TD="width: 128"] 200,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 73"] 10
[/TD]
[TD="width: 204"] OTHER MATERIALS(e.g. wall nails,
adaptor pins etc)
[/TD]
[TD="width: 106"]
[/TD]
[TD="width: 128"] 50,000

[/TD]
[TD="width: 128"] 50,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 73"]
[/TD]
[TD="width: 204"] Total Equipment Cost
[/TD]
[TD="width: 106"]
[/TD]
[TD="width: 128"]
[/TD]
[TD="width: 128"] 1,640,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 73"]
[/TD]
[TD="width: 204"] Installation Cost
[/TD]
[TD="width: 106"]
[/TD]
[TD="width: 128"]
[/TD]
[TD="width: 128"] 300,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 73"]
[/TD]
[TD="width: 204"] Total Cost
[/TD]
[TD="width: 106"]
[/TD]
[TD="width: 128"]
[/TD]
[TD="width: 128"] 1,940,000

[/TD]
[/TR]
[/TR]
[/TABLE]
 
me nataka hio ya 5000,kufunga nitafunga mwenyewe ninapotaka. wapi unapatikana au zinauzwa zote piece 6?
 
Tunauza na kufunga CCTV cameras kwenye Majumba, Yard, Parking, Maofisi, Madukani, Viwanda, Bank na kwingineko. Bei zetu ni nafuu sanaaa, na vifaa vyetu ni original.

Bei ya camera (Inategemea aina kama ni Samsung, Sonny, Lg na ukubwa wa lense, na kama ya nje au ndani) inarange 200,000 - 700,000/ camera na zina guarantee ya 1 year.

Mawasiliano

0718702846

mimi nina camera yangu, nataka munifungie kila kitu kwangu, Service Charge Shs. ngapi?
 
Tunauza na kufunga CCTV cameras kwenye Majumba, Yard, Parking, Maofisi, Madukani, Viwanda, Bank na kwingineko. Bei zetu ni nafuu sanaaa, na vifaa vyetu ni original.

Bei ya camera (Inategemea aina kama ni Samsung, Sonny, Lg na ukubwa wa lense, na kama ya nje au ndani) inarange 200,000 - 700,000/ camera na zina guarantee ya 1 year.

Mawasiliano

0718702846
habari
kaka unataka trunk ,kweli fundi wewe?
ofisi zenu ziko.wapi?
 
Back
Top Bottom