Tunauza miche ya matunda pamoja na vifaa vya umwagiliaji

Unakwama Wapi? Ni Nini Kinakujia Akilini Kila Unapowaza Kuhusu Kilimo?.
Leo nataka nikuambie kuwa Kilimo ni maisha na wakulima ndio wanaoilisha Dunia. Tunayofuraha ya kuwa miongoni wazalishaji na wauzaji wa Miche Bora ya Matunda iliyoandaliwa Kitaalamu na Ubora wa Hali ya Juu. Tunazalisha Miche ya Matunda kama vile:
Parachichi, Embe, Chungwa, Ndimu, Limao, Chenza, papai, komamanga, stafeli, pasheni, Pera, fenesi, Tope tope, Mbilimbi, Zeituni, strawberry, korosho, Cocoa, Zabibu, Minazi pamoja na Migomba ya aina tofaut tofauti.
Utapata Mche kwa Bei ya 2500 tu.
Tupo SUA Morogoro Tupigie Leo 0752799673/0746850361. Ulipo Tunakufikia.View attachment 2600096View attachment 2600097View attachment 2600099View attachment 2600100View attachment 2600098View attachment 2600103View attachment 2600101View attachment 2600102
Screenshot_20220425-215712.jpg
 
Tunaendelea kuwakaribisha wateja wetu na wakulima wote pamoja na kupokea oder za miche ya matunda kwaajili ya msimu ujao wa Mvua Za Vuli.

Weka oder yako leo kupitia namba - 0752799673.
Tunapatikana SUA, Morogoro.

IMG_20230622_113722_323.jpg
png_20230621_105104_0000.jpg
png_20230619_113943_0000.jpg
 
Je Umeshtuka? Kama Bado Leo Nataka Nikuambie Kama Utapata Fursa Ya Kuwa Yule Unaetaka Kwenye Karne Hii Jitahidi Uwe Mkulima Wa Parachichi (HASS). Kilimo Cha Parachichi Kibiashara ni Uwekezaji Mzuri na Wenye Tija ya Muda Mrefu.

Ukitaka Kuhakikisha Hili Angalia Kilimo Cha Parachichi kwenye Mikoa Ya Njombe, Mbeya, Iringa, Kilimanjaro, Arusha, Tanga na Kagera.

Hapa utapata Kufahamu Ni kwanini Matajiri Wengi wanaopata Pesa Kwenye Kilimo Wanawekeza Sana Kwenye Mashamba ya Parachichi kwa Sasa.

Nafahamu unawaza Jinsi ya Kuanza. Tupo Kwaajili ya Kukupa Elimu Juu pa Kilimo Cha Parachichi za Kisasa, Pamoja na Kukuandalia Miche Itakayo kupa Matokeo ya Kihistoria.

Tupigie Leo 0752799673/ 0746850361. Tupo SUA Morogoro na Ulipo Tunakufikia.

png_20230717_150202_0000.jpg
 
View attachment 2691352
1. Mko mkoa gani
2. Eezea time duration ya kupanda miche mpaka kuvuna
3. Elezea magonjwa ya miche hiyo/tiba zake maana magonjwa ni kikwazo kikubwa (mi nalima.tatizo hili naliogopa)
4. Elezea how one can press order and shipment process, costs etc etc
5. etc etc
 
Je Unahitaji Kuwa Na Bustani Ya Mboga Nyumbani?

Ni rahisi sana, Lima Bustani Kisasa kwa Kutumia mfumo mdogo wa Umwagiliaji kwanjia ya Matone yaani Drip Irrigation Kit. Huu ni mfumo mdogo Ambao unakuwa n matuta 5 yenye urefu wa mita 10 kila moja. Hapa utaweza kuotesha Miche ya Mboga kati ya 200-250.

Sifa za mfumo huu ni Maji yanatumika kidogo, unajali muda, eneo Dogo unavuna mboga Nyingi. mfumo una sehemu ya kufunga na kufungulia maji, Hauhitaji fundi kwani inakufikia ikiwa imeunganishwa kila kitu, pia ni rahisi kuhamisha.

Tupigie Leo upate Drip Kit Yako kwa Bei ya Tsh Elfu 60 tu.

Call. 0752799673/0746850361.

Screenshot_20230718-181030.jpg
 
Mkuu mimi nina eneo langu kama heka moja hivi na pia nina kisima lengo langu nilime nyanya sasa nautaka huu mfumo je ni bei gani?
 
Je Unahitaji Kuwa Na Bustani Ya Mboga Nyumbani?

Ni rahisi sana, Lima Bustani Kisasa kwa Kutumia mfumo mdogo wa Umwagiliaji kwanjia ya Matone yaani Drip Irrigation Kit. Huu ni mfumo mdogo Ambao unakuwa n matuta 5 yenye urefu wa mita 10 kila moja. Hapa utaweza kuotesha Miche ya Mboga kati ya 200-250.

Sifa za mfumo huu ni Maji yanatumika kidogo, unajali muda, eneo Dogo unavuna mboga Nyingi. mfumo una sehemu ya kufunga na kufungulia maji, Hauhitaji fundi kwani inakufikia ikiwa imeunganishwa kila kitu, pia ni rahisi kuhamisha.

Tupigie Leo upate Drip Kit Yako kwa Bei ya Tsh Elfu 60 tu.

Call. 0752799673/0746850361.

View attachment 2694260
🙏
 
Natafuta miche ya Tamarillo?
Mnaweza kuwa nayo?
Usikubali Kupitwa Na Mvua Za Msimu Bila Kupanda Miti Shambani Kwako.
Msimu wa Mvua ni mzuri kwa upandaji wa miti ya matunda pamoja na Ile ya mbao kwani hupunguza gharama za umwagiliaji na mahitaji ya maji. panda Sasa kwani Hadi mvua zinakata mizizi inakuwa imeshika Ardhini vizur.

Pata Miche Ya Matunda Ya Muda Mfupi Aina Zote Kama Vile
Embe (aina zote)
chungwa
parachichi
limao
Ndimu
Chenza
pasheni
papai
stafeli
tope tope
chikichi
korosho
Pera n.k
Utapata miti mizuri kwa Bei ya tsh 2500 tu.

Miti ya Mbao pia ipo
mitiki
Mikangazi
misederera
mkongo n.k.
Piga simu Leo kwa 0752799673
Tupo Morogoro SUA.

View attachment 2099072View attachment 2099074View attachment 2099075
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom