- Thread starter
- #1,321
Kanunue hizo za bei hiyo uliyoitaja huko kwengine mkuu, Mimi ya kwangu nauza 14.8m Mazungumzo yapo kidogo.Punguza bei isiyozidi 10mil itatoka
.
Nenda BEFORWRD KAULIZIE UKITAKA KUAGIZA RAUM YA 2004 YA 39,000Kms UTAIPATA KWA BEI GANI HALAFU RUDI UTUPE MREJESHO

.
Msipende kuzungumza habari za bei kwa mambo msiyoyajua wazee, eti uza below 10m....are you serious???


....njoo kwenye gari nikuoneshe inspected mileage ikiwa Japan na inspected mileage ya TBS ikiwa Tanzania