Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,436
Inaweza kubeba ng'ombe wangapi? Michomoko ya kubeba ng'ombe inalipa sana
Zimetosha mkuu sema bampa ya mbele ni ya kurekebisha.Picha hazitoshi mzee baba.
Kwani ume-upload picha ngapi?Zimetosha mkuu sema bampa ya mbele ni ya kurekebisha.
Yes uko sahihi mkuu, bampa la mbele litahitaji marekebisho kdgZimetosha mkuu sema bampa ya mbele ni ya kurekebisha.


Nashindwa kuelewa sasa hivi picha hazionekani mkuu.Kwani ume-upload picha ngapi?
ngoja tuzitafute

Umesema unauza injini au gari? labda heading imekosewaYOM: 2001
Capacity: 1490cc
Transmission: Automatic
Fuel: Petrol
Mileage: 131,000 Kms
Colour: Acqua Blue
Haijarudiwa rangi popote
Haijawahi kupata ajali
Iko katika Condition nzuri sana
Location: Sinza - Dsm
Price: TZS. 4.5M
Call: 0717 650800View attachment 1753437