Tunauza Incubator(Mafinga-Iringa)

Bwanamaya

Member
Joined
Mar 14, 2017
Posts
79
Reaction score
118
Wapendwa wafugaji kanda ya nyanda za juu kusini, tumewaletea mashine za kuangulia mayai ya ndege aina zote, mashine za kisasa kabisa na zenye ufanisi mkubwa (full automatic) AC/DC (umeme wa kawaida na umeme wa battery) bei poa kabisa kabisa. Tuwasiliane Pm
 
Labda unauza tenga la nyanya.

Na mie namshangaa ndugu yetu mla kaumbwa kwanini haelezei aina ya hiyo mashine , imetengenezwa wapi, je ni mpya au used na kwanini hataji bei?
 
Na mie namshangaa ndugu yetu mla kaumbwa kwanini haelezei aina ya hiyo mashine , imetengenezwa wapi, je ni mpya au used na kwanini hataji bei?
Yaani kuna watu vichwa ngumu,tena nahisi huwa wanakuja kujaribu watu,huko PM sijui kuna maelezo ya kiarabu,mpaka inakera aisee.
 
Yaani kuna watu vichwa ngumu,tena nahisi huwa wanakuja kujaribu watu,huko PM sijui kuna maelezo ya kiarabu,mpaka inakera aisee.
Pm si ndo mnatongozana vizuri...[emoji23] [emoji23] Bei ni

kuanzia ni kuanzia 650,000 (mayai 112)

Ni mpya

Zipo ndogo pia za mayai 56.....400,000

Ni za Kichina

Warranty miezi sita (6)

KARIBUNI
 
Na mie namshangaa ndugu yetu mla kaumbwa kwanini haelezei aina ya hiyo mashine , imetengenezwa wapi, je ni mpya au used na kwanini hataji bei?
Nimesha taja mzee afu sema wakati naleta kauzi hapa nilikuwa nimesha kunywa kasupu kaleee...[emoji23] [emoji23] Sasa mpaka akili ikae sawa kwanza [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…