Tunauza asali mbichi Bora ya nyuki wakubwa

Tunauza asali mbichi Bora ya nyuki wakubwa

dancher

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
205
Reaction score
243
Asali ni moja ya chakula chenye kazi kubwa mwilini hutumika pia kama dawa kwa kutibu magonjwa mbali mbali mwilini hivo inakupasa kujenga mazoea ya kuitumia kila siku kwa kuanzia Kama kifungua kinywa mfano ukiichanganya na mdalasini husaidia kuondoa harufu mbaya mwilini lakini pia husaidia kutibu magonjwa Kama vidonda vya tumbo maradhi ya moyo na pia husaidia kuondoa chunusi.
Fanya maamuzi leo kwa kuamua kutumia asali Bora kwa wale watakao hitaji kwa Bei ya ofa jipatie kwa Bei ya tsh 8000/= kwa chupa moja ya ml 500
Kwa mahitaji zaidi pia simu namba 0762111630/0713361285 tunapatikana maeneo ya keko Dar es salaam lakini tuna tawi letu Tunduma eneo la Unyamwanga ambapo hutoa na mafunzo ya ufugaji wa nyuki na kuuza vifaa vya kisasa vya ufugaji
Simu no: 0762111630 aksante
IMG_20190103_122741_1.jpeg
IMG_20190107_071338_979.jpeg
IMG_20190105_155100_4.jpeg
IMG_20190103_123013_6.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom