MAGOA KEULA
Member
- Nov 29, 2014
- 6
- 1
Ndugu wana JAMII forum, kwa wakati tulionao kumeibuka wimbi la mafundi wakutengeneza incubator za kuangulishia vifaranga vya kuku ambao sio waaminifu ktk.kazi zao hizo muwe makini.BAADA YA KUTOA TAHADHARI HIYO NINAWAALIKA KUWEZA KUJIPATIA INCUBATOR KUTOKA KGE & MGE (KMGE) CAMPANY AMBAZO NI INCUBATOR ZA UHAKIKA NA ZENYE KUTOTOA KWA ZAID YA 75% YA MAYAI UTAKAYO WEKA. KMGE IMEKUWA IKITENGENEZA MASHINE KULINGANA NA UHITAJI WA MTEJA WETU.MASHINE ZETU ZIMEGAWANYIKA KTK. MAKUNDI MAKUU 2 KAMA IFUATAVYO.
- MASHINE ZA MAFUTA YA TAA
ZIPO ZA MAYAI 50 , 100, 150 NA KUBWA KABISA NI YA MAYAI 200 KTK.ZILE ZITUMIAZO MAFUTA YA TAA.
-PIA TUNAUNDA MASHINE ZITUMIAZO UMEME ZENYE UWEZO TOFAUTI KAMA VILE:
MAYAI 50, 100 150,200,300,500,800 ,1000 -NAKUENDELEA KULINGANA NA HITAJI LA MTEJA WETU TUNAUNDA.
KTK.KUKUHAKIKISHIA UPATIKANAJI WA UMEME KTK. INCUBATOR YAKO YA UMEME,HATA BAADA YA UMEME KUKATIKA KMGE COMPANY INA UNDA MASHINE MAALUMU KWAAJILI YA INCUBATOR YAKO ITAKAYO JIWASHA YENYEWE PINDI UMEME WA TANESCO UTAKAPO KATIKA NA KUJIZIMA YENYEWE PINDI UMEME WA TANESCO URUDIPO BILA KULETA MADHARA YOYOTE KWA MTUMIAJI NA MALI ZAKE.
KWA MASHINE BORA NA ZAUHAKIKA WAONE KMGE (KGE & MGE) COMPANY KWANI MASHINE ZETU ZINAUBORA WA UHAKIKA NA TUNA UZOEFU WA TAKRIBANI MIAKA 7 SASA.TUNA WAKALA KATIKA MIKOA IFUATAYO :- MOROGORO, NJOMBE,MBEYA,SINGIDA MWANZA,MUSOMA, IRINGA, OFISI IPO DSM NA MTWARA. KWA MAWASILIANO ZAIDI WAWEZA TUPATA KWA NAMBA ZIFUATAZO
0787150720 /0756524013 AU WAWEZA TUMIA EMAIL YA mkeula@yahoo.com.
WOTE MNAKARIBISHWA.