Tunaunda mifumo ya automation ya mashine na mitambo mbalimbali.

Tunaunda mifumo ya automation ya mashine na mitambo mbalimbali.

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,640
Kwa kampuni au mtu binafsi mwenye mahitaji ya kuunda mfumo wa automation (electronics automation), kwa ajili ya mashine au mitambo tuwasiliane.

Tunaunda mifumo ya kidigitali kwa mashine zote mf.

Mashine za kusaga nafaka
Mashine za kukamua
Mitambo ya kuinua na kusogeza vitu.
Mashine za kilimo
Mashine za vifaranga

Automation ni mfumo unaosaidia kupunguza "manual work" kwa mitambo mbalimbali.

Pia kama mashine yako inahusisha sehemu za hatari kwa binadamu kufanya kazi tutaweza kutumia automation kukamilisha kazi hiyo.

Pia kama kuna mfumo wa automation unaoendeshwa na electronivs uliokufa katika mtambo au mashine tunaweza kuufufua.

Kwa mawasiliano nichek

Watsup 0629068815
 
Back
Top Bottom