Tunauharibu uwanja mpya wa taifa.

Nakapanya

JF-Expert Member
May 22, 2012
2,096
708
Mzee Mkapa alituachia zawadi ya uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo(shukrani ziende kwake).Tatizo kubwa ninaloliona sasa ni hizi shughuli za matamasha mbalimbali kufanyika katika uwanja huu,mfano Tamasha la pasaka,na sasa tamasha la matumaini,hivi kweli kwa mtindo huu uwanja wetu utadumu kweli?kwanini matamasha hayo yasifanyike kwenye uwanja wa uhuru(shamba la bibi)?,tuendako huu uwanja utakuwa kama wa jamhuri morogoro.NAWASILISHA.
 
Maoni yako mazuri sana lakini usisahau kuwa wakati mwingine watendaji wetu wana mioyo kama ya wendawazimu,utashangaa zaidi siku wazanzibari watakapokuja na mchezo wao wa ngombe na ukasikia wanaonyesha uwanja wa Taifa,au pale utakapoambiwa kuwa gwaride la uhuru litafanyika hapo kisa uwanja wa uhuru ni mdogo na haukidhi matakwa ya watazamaji..
 
Back
Top Bottom