Tunatoa mikopo, riba ni 35%

Tunatoa mikopo, riba ni 35%

Unahitaji MKOPO wa riba, dhamana ni kadi inayosoma jina lako, mkopo riba yake 35% ila gari unabaki nalo, tofauti na wengine piga simu 0692 946600 Kwa dar es salaam tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo interest 35% ni kwa mwaka? Na ni requirements gani mkopaji anatakiwa kuwa nazo. Eleza vizuri zaidi ukitoa details ili mtu anayekuja kukopa apate details siyo afike halafu iwe hujakamilisha hili na lile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kama anataka, mkopo, aje na kitambulisho cha kupigia kura au taifa, na kadi ya gari ambayo ni dhamana na gari pia ili tulione, kwenye kadi lisome jina Lake, basi ni hivyo tu gari anarudi nalo, tutaingia mkataba wa kisheria katika makabidhiano ukichukua pesa unarudisha Kwa mwezi yote na ikishindikana unarudisha riba ila utoe taarifa mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKOPO WA dharura sihitaji kujua unakaa wapi na una biashara gani, benki unafuata taratibu zao na wanajuwa wapi kuku pata, ila mi nikukupa utarudisha vipi na ntakuamini vip

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wizi wa mchana.
Last Ichecked EFL wanatoza riba ya 16%
tatzo mashart yaan watu wanaoanza business wanaonewa sana kila m2 uwe n bank statement y mwaka mzm sasa kama m2 ndo anaanza apati mkopo wanapewa walioanza kitambo sio vzur hata wenyew wanahaki jmn
 
tatzo mashart yaan watu wanaoanza business wanaonewa sana kila m2 uwe n bank statement y mwaka mzm sasa kama m2 ndo anaanza apati mkopo wanapewa walioanza kitambo sio vzur hata wenyew wanahaki jmn
Hebu nenda EFA kawasikilize masharti yao kwanza kabla ya ku-generalise.
 
MNA Leseni ya BOT hawa Ndio Lukuvi anawatafuta BOT hawezi kukupa Leseni kwa Riba hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom