Tunatoa mafunzo ya udereva

Tunatoa mafunzo ya udereva

Joined
Feb 24, 2015
Posts
36
Reaction score
24
Proffessional driving courses offered.

Chuo kipo Mabibo, kina link na chuo cha taifa cha usafirishaji, hivyo ukimaliza mafunzo utakuwa regarded kama proffessional kutoka NIT.

MABIBO GETWELL DRIVING SCHOOL, Inakukaribisha katika mafunzo ili uwe competitive kwenye soko la ajira.

Kwa mawasiliano zaidi, nitumie PM

Chuo kipo mabibo Dar es salaam.
 
bei ya course? duration ya course? cheti napata cha NIT?
 
PM hiki ni chuo hivi sijawahi sikia chuo kinapokea details kwa PM. Kazi kwako
 
Back
Top Bottom