Tunatoa huduma za web design,blog design and logo sesign

Tunatoa huduma za web design,blog design and logo sesign

Joined
Jun 9, 2017
Posts
17
Reaction score
3
Natumai wote ni wazima wa afya na mambo yenu yanakwenda vizuri kabisa.
Napenda kuchukua fursa hii kwa kuwajulisha kua company yetu ya entrebrain inayo jihusisha na masuala ya graphic &design,business consultancy and web design, kua now tupo tayari kupokea oda mbali mbali zikiwemo kutengenezewa website ya biashara yako,logo pamoja na blog pia bila kusahau tunatoa ushauri wa kibiashara kwa wajasilia mali.
Karibuni sana.
#0786544846
Insta(entrebrain_)
 
Ebana nitakufanyia 100000tsh
N itabidi huyo aliekutengenezea akupe password ili toweze kufanya editing
Mkuu Nina blog Yang nataka iwe na matangazo ya propeller ads settings utanifanyia kwa shilingi ngap?
 
Mpo humu? Biashara inaendelea mtalaam?
 
Back
Top Bottom