Mchanganuo upo katik hatua zifuatzo.Weka mchanganuo wa gharama za uchimbaji
Mwenzio kaomba Mchanganuo Wa gharama za uchimbaji, wewe unampa hatua za Uchimbaji na makabidhiano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mchanganuo upo katik hatua zifuatzo.
1- kupima upatikanaji wa maji. (Gharama hutegemea umbali na miundombinu yake ya kufika eneo hilo)
2- uchimbaji wenyewe( baada ya upimaji, tathmini ya gharama hufanyika kisha mteja atapaswa kulipa kiasi fulani cha fedha kabla ya kuchimbiwa, hatimaye kazi ikiwa mwishoni anamalizia malipo. Pia hili hutemea mazingira ya makubaliano.)
3-ufungaji wa pump, baada ya maji kupatikana , mteja atafungiwa pump ambayo yeye ataiweza kuinunua. (Gharama za vifaa hubadilika kutokana na msimu husika na hali ya soko)
4-Majaribio ya utokaji wamaji, baada ya pampu kufungwa , fundi atajaribu kuona ni kwa hali gani maji yanatoka mbele ya mteja.
5-Makabidhiano- mteja hukabidhiwa kisima na maji yakiwa yanatoka na tayari kwa matumizi.
NB: UJENZI WA VIFAA(MIUNDOMBINU YA MAJI) HII HUTEGEMEA MAAMUZI YA MTEJA.
Asante, karibu kwa maswal zaidi.
Kweli, lakini nimetumia mchanganuo ili kama yeye specifically kutokana na alipo aniambie nimwambie gharama, kwa sababu mtu wa kigoma na mtu kagera gharama haziwez kufanana.Mwenzio kaomba Mchanganuo Wa gharama za uchimbaji, wewe unampa hatua za Uchimbaji na makabidhiano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa Mkuu.Kweli, lakini nimetumia mchanganuo ili kama yeye specifically kutokana na alipo aniambie nimwambie gharama, kwa sababu mtu wa kigoma na mtu kagera gharama haziwez kufanana.
Kwa mfano naweza toa mchanganuo wa sehemu ambayo havilingani na yeye alipo.
Naomba nieleweke hvyo, kwa hiyo ukitaka mchanganuo wako nitafute kwa namba niliyoiandika 0682276767 nikupigie nikieleze kwa vocha yangu.
Asante
Mchanganuo wa gharama kwa mtu alie morogoro mjini, mnapima kwa sh ngap, mnachimba mita kwa sh ngap, n.kKaribu tena kwa maswali na taarifa zaidi
Huo sio utaratibu, kupima kwanza ndio utaratibu, kwa sababu husaidia kuwa na uhakika wa kazi, kujua aina ya vifaa vya kutumia. Pia upimaji hisaidia kujua makadirio ya gharama ya kazi. Husaidia mteja kutopata hasara zisizokuwa za msingi.Inasemekana ukichimba popote pale unapata maji ilimradi uweze kumudu gharama? Ni kweli