MVAA KOMBATI
Member
- Sep 18, 2016
- 39
- 38
Tangazo maalumu kwa watu maalumu.
Wale wote mnaohitaji huduma ya kuchimbiwa kisima huu ni wakati wenu wa kupata huduma hii kwa bei nafuu na huduma bora.
Visima vyetu vya karavati ni bora kwa matumizi ya mashambani,majumbani,wafugaji,kwenye huduma za jamii zote iwe mashule,hospitali makanisa,misikiti,nk.
Wapo waliokuwa na kiu ya kupata visima katika maeneo yao wakashindwa kutokana na maeneo ya kuwa na mawe au miamba inayotembea.Katika maeneo kama hayo sasa suruhisho lake ni visima vya karavati.Visima hivi hatuchimbi kwa bei ya mita tunabei zetu maalumu kutoka na kila mtu alipo na tunafanya makubaliano.Tunachimba mpaka upate maji ya uhakika.
Utajuaje kama umepata maji ya uhakika?.Tutakapo kuambia sasa maji tayari,tunamwaga maji masaa matatu.
Kwa yeyote mwenye kuhitaji huduma hii apige simu au sms.
Narudia piga simu au sms ili tujadiliane na kukupatia huduma hii.
Kwa wakulima pia tunayo huduma ya kupima udogo(soil ph).Kwa bei nafuu.
Pia tunaandaa miche ya mipapai aina ya calina f1.Kwa oda,weka oda yako leo.Hapa kwenye papai pia tunapokea project kama mtu anahitaji huduma ya kuandaliwa miche na kuandaliwa shamba,yeye tunamkabizi shamba lake likiwa na miche tayari.Pia ni makubaliano.
Kwa huduma hizi zote tuwasiliane kwa namba hizi.
0784999995.
0763208043.
0654768400.