Tunatoa huduma za payroll

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,346
2,047
Habari wakuu.
Kama unaanda payroll kwa kutumia software kama VIP payroll premier na nyinginezo,
Natoa huduma zifuatazo:
1/Kuhamia mwezi unaofuatia kama payroll package inashindwa (fail to roll to new period)

2/Kutuma payslips kwa waajiriwa wote kwenye e-mail zao kwa mara moja

3/ Kurekebisha makato na kodi(Social funds na PAYE)

SIMU: 0713 039875
 
Back
Top Bottom