Nyabiri
Member
- Apr 15, 2017
- 58
- 38
Kwa sasa inakadiriwa kuwa na idadi kubwa saana ya makampini ya ulinzi tanzania, imezoeleka kuona makampuni mengi hapa nchini yakifanya biashara hali ya kuwa yalitakiwa kutoa huduma kwa wanachi. Swala la ulknzi na usalama ni swala mtambuka na kimsingi kabla hujaamua kulifanya unatakiwa kujiandaa kujitolea kutoa huduma huduma kwa raia na sii kufanya biashara.
Nilianza kufanya uchunguzi wa kina juu ya swala hili miaka mitano iliyopita nikabaini kuwa zaidi ya 90% ya makampuni ya ulinzi yamejikita kufanya biashara badala ya kutoa huduma.
Baada ya kubaini hilo niliamua kusajili kampuni yangu @inchagesecurity1 kwa lengo la kuanza kutoa huduma stahiki kwa raia.
Askari tumefundishwa weledi na tuna kiapo cha kulitumikia Taifa hakuna hivyo kugeuza huduma kuwa biashara ni kukaidi kiapo cha uadilifu.
Kwa yeyote anaehitaji huduma ya ulinzi njoo upewe askari mahili, Tupo kata ya dunda bagamoyo mkoa wa pwani.
Unaweza kutupigia simu popote ulipo Tanzania 0713032040 au 0629713313 tutakufikia.
INCHAHE SECURITY TUNASEMA kumlinda raia ni jukumu letu.
Kwa askari wenye vigezo nafasi zipo