Tunatoa Huduma Nzuri za Solar

Tunatoa Huduma Nzuri za Solar

SNL SOLAR LTD

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
205
Reaction score
26
Faidika na Umeme wa SOLAR kwa gharama nafuu zaidi na SOLAR zenye UBORA wa hali ya juu kutoka SNL SOLAR.

Tunafunga na kuuza vifaa vyote vya Solar.

Pia Tuna huduma za BACKUP maofisini, majumbani na hata sehemu yoyote utakayohitaji kufungiwa.

TUPO: SINZA KWA REMY

KWA MAWASILIANO ZAIDI: O714373488/0762246488/0784232536

Pia unaweza tufollow Instagram @snlsolarltd
 

Attachments

  • 20170717_123418.jpg
    20170717_123418.jpg
    46.4 KB · Views: 50
Inveter mnauzaje? Na mnatengeneza zilizoharibika?
 
Habari zenu wadau wapi naweza pata Solar Unit ambayo
1. Inaweza run pump ya kisima (iliyozamIshwa )
2. Bulb zisizozidi 6
Nataka kujua ni watts ngapi zitatosheleza ?
Na solar panel za ukubwa gani zitatosha ?
Jee itagharimu kiasi gani ?
HP 2. Kisima urefu 70m
 
Back
Top Bottom